Mama Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Mama - Alikiba
...
Mmmh mama yangu
Mama samia
Imeshafika mwaka mmoja umeumaliza
Ila speed yako imepitiliza
Na umetupa viongozi bora sio wakuigiza
Ahsante mama ooh Ahsante mama
Umetupa heshima tutakuenzi kwa mapenzi
Umejawaha hekima sana
Umejawa hekima sana
Dunia nzima umetupanga kama treni
Umejawa hekima
Baruti ziwakee shangwe zimwangwe
Umeupiga mwingi mama
Ooh mwingi mama
Baruti ziwakee shangwe zimwangwe
Ooy mama yangu ooh
Samiaa ohh
Rais wetu mama samia
Ajira kwa vijana umeimarisha
Royal tour imejipa umetupaisha
Tanzania miradi inamiminika
Soko kimataifa tunathaminika
Umetupa heshima Tutakuenzi kwa mapenzi
Umejawa hekima sana umejawa hekima
Dunia nzima umetupanga kama treni
Umejawa hekima sana
Baruti ziwakee shangwe zimwangwe
Umeupiga mwingi mama
Ohh yoo mama yangu
Ooha mama samia
Mama Samia