Dawa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Dawa - Steve RnB
...
Gonna miss you
Siku zimepita nyingi sina issue bila wee
Watu wana wivu, walisababisha nikuone sisu ooh
Njoo kwangu dawaaa
Oooh mi na wew ni adam na hawa
Ooh njoo kwangu dawa
Mi na wew ni adam na hawa
Mchana usiku nakuwaza kila saa ni wew tuu gil
Nakuombea kwa mungu akulinde akuepushe majaribu
Ooh njoo kwang Dawa
Gil mi na wew ni adam na hawa
Baby njooo kwang dawaaaa
Bby mi na wew ni adam na hawa
Nini mi nifanye au ishara gani mi nikupe
Mwenzio nina hali ngum
Kwanin ucinipe dawa X 2
Njo nipunguze strees achna na wanga wana diss o lalaaah
Wala haikua rahis kuachna na weeh bby ujue mi nmekumis
Sogea karib mwenye umbo zuri nanaaah nanah nanahh
( @weed)