Sweet Love Lyrics
- Genre:Reggae
- Year of Release:2022
Lyrics
Sweet Love - Steve RnB
...
Uuuh!! Uuuh uuuh!!
Umenifanya nakesha nikisikiliza melody
Pale unanipeleka najiuliza maswalii
It’s sweet love ❤️, inanifanya niamini
Nini utamu wa mapenzi, it’s sweet love
Matamu yako mapezi,baby ongeza mapenzi
Nasikia utamu udenda unanitoka kwa mapenzi oh mapenzi yako baby girl
Usinipe maumivu ukanichosha
You’re my juliet me ni wako romeo
Vumilia vumilia ah ah ah
Utamu wa penzi kamatia ah ah
Shikilia shikilia ah ah ah
We ndo wangu malikia ah ah ah
We nipe mali na mimi nikupe thamani
Kila siku nikuweke moyoni
Usinipeleke mbali
Kwani penzi lako ghali
Nauzuri wake upo rohoni
Umenifanya nakesha nikisikiliza melody
Pale unanipeleka najiuliza maswali
It’s sweet love ❤️
Inanifanya niamini nini utamu wa mapenzi, it’s sweet love ❤️
Matamu yako mapenzi baby ongeza mapenzi
Siku ikifika mi sipati picha
Ulivyo mzuri na unavyo nidatisha
Wakuite Mrs mimi ndo Mr
Tufunge pingu ndoa ya maisha
Vumilia vumilia all i see is me
Shikilia shikilia baby girl would you marry me
We nipe mali mi nikupe thamani
Kila siku nikuweke moyoni
Usinipeleke mbali
Kwani penzi lako ghali na uzuri wake upo rohoni
Umenifanya nakesha nikisikiliza melody
pale unanipeleka najiuliza maswali it’s sweet love ❤️
Inanifan niamini nini utamu wa mapenzi
Matamu tako mapenzi baby ongeza mapenzi
Ah ah ah ah ah
It’s sweet love
It’ sweet love