She Dance Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
She Dance - Steve RnB
...
penda way she dancin...
yeah... eeh ooh...
the way she dancin anafanya nijisikie raha,
kweli ananipa mizuka,
huyu dada she care nobody...
the way she winin anafanya nijisikie raha,
kweli ananipa mizuka,
huyu dada she care nobody...
she's so fine girl...
she make me wanna dancin, dancin, dancin, ×2
she rock my world...
jinsi akicheza ananichanganya...×2
the way she dancin anafanya watu wanadata,
wanatamani kucheza naye,
maana her she care nobody...
the way she windin anafanya watu wanadata,
wanatamani kucheza naye,
maana her she care nobody...
she's so fine girl...
she make me wanna dancin, dancin, dancin, ×2
she rock my world...
jinsi akicheza ananichanganya...×2
the way she dancin, dancin, yeah...
she really rock my world, my world, my world...×4
she's so fine girl...
she make me wanna dancin, dancin, dancin, ×2
she rock my world...
jinsi akicheza ananichanganya...×2