Star Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Star - mabantu
...
star star star star star
unaniketea ustar me mwenyew star
mama yangu star baba yangu star
iyo bebe yangu star
ex wangu star
dj wangu star
mpaka body guard star
so usituletee u star
usishobokee us tar
wanangu mastar
mpaka snitch wangu star
we una iletea u star
jirani yangu star
mwenye nyumba wangu star
mpaka boda boda star
kumaansha nn
hainaga shoo shoo
hainaga shobo wanangu
hainaga kutubutubu
hainaga shobo wanangu
masponsa si wanazo doo
hainaga shobo wanangu
nguv za kiume tunazo xx
hainaga shobo wanangu
hainaga shoo shoo
hainaga shobo wanangu
hainaga kujishaua
hainaga shobo wanangu
akipita na bwana ako
hainaga shobo wanangu
na wewe pita na baba ake
hainaga shobo wanangu
mara oooo madem wa sinza tabata wana UTI..
nyoo
madem wa chuga kiuno kigum
nyoo
madem Wemba mba wanaomba vocha
madem wafup ety wabish
nyoo
so usituletee u star
us shobokee u star
wanang ma star mpaka snitch wangu star
we una niletea u sta
jiran yangu star
mweny nyumb wangu star
mpaka boda boda star
hainaga shoo shoo
hainaga shobo wanangu
hainaga kujishaua
hainaga shobo wanangu
we ukimpa macho matatu
hainaga shobo wanangu
ss anatupa jicho moja
kumaansha nn
hainaga shobo haianaga shobo wanangu
hainaga kutilituli
hainaga shobo wanangu
wewe ukimlewesha
hainaga shobo wanangu
xi kwa bed tunamkeshesha
hainaga shobo wanangu
na aka kagar na hauna salio
nyoo
bwana mdogo si unajigambia
nyoo
piga kelel nying kama una kalio
na kama huna kalio tingisha ilo fagio
nyoo nyoo
so usituletee u star
hatushobokei u star
wanangu mastar
mpaka snitch wangu star
we unaniletea u star
jirani yangu star
mwenye nyumba wangu star
mpaka boda boda star
kumaansha nn shida
hainaga shobo wanangu. kiruuuu
hainaga shobo wanangu
ehh
hainaga shobo wanangu..
kumaansha nn Haina ga shobo wanangu
....,.............