Acheni Mungu aitwe Mungu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Hallelujah, yeah
Halle, hallelujah
Bwana ni mchungaji wangu
Sitapungukiwa na kitu chochote
Unilazae Kwenye majani mabichi
Uniongozae kwa njia za haki
Nipitiapo kati ya mauti
Sitaogopa wewe una mi
Waandaa meza mbele yangu
Machoni pa watesa wangu
Acheni Mungu aitwe Mungu
Acheni Mungu aitwe Mungu
Acheni Mungu aitwe Mungu
Acheni Mungu aitwe Mungu
Jehova Jire, Elshadai, Elroi, yote ni yako
Jehova Jire, Elshadai, Elroi, yote ni yako
he! he! he! Yote ni yako
he! he! he! Yote ni yako
Nimepita kati ya Milima na mabonde
Umesema wewe hutaniacha
Ata wanitukane waniseme,
Utabaki Kuwa milele Mungu wa wanyonge
Waliowachwa waliotengwa unawapigania
Utabaki kuwa milele Mungu wa wanyonge
Nipitiapo kati ya mauti
Sitaogopa wewe una mi
Waandaa meza mbele yangu
Machoni pa watesa wangu
Acheni Mungu aitwe Mungu
Acheni Mungu aitwe Mungu
Acheni Mungu aitwe Mungu
Acheni Mungu aitwe Mungu
Jehova Jire, Elshadai, Elroi, yote ni yako
Jehova Jire, Elshadai, Elroi, yote ni yako
he! he! he! Yote ni yako
he! he! he! Yote ni yako
Yelelelelee he! Yote ni yako