Jipe ft. Marioo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Jipe ft. Marioo - Nadia Mukami
...
Ayayayaya Nadia
Kamoyo kangu ka chonyo
ila kwa nimetulia
Nairobi mpaka Bagamoyo
anataka kunichumbia
sasa nalishwa navishwa
naogeshwa aaah
tena nalindwa napendwa aaah
picha kule Kyle atapata tabu sana
macho mbele mbele anipenda sana
hakuna pingamizi kwetu
hakuna madrama huku kwetu
hatuna maneno huku kwetu
tunapendana kikwetu
{haka kamoyo kangu ni jipe ni jipe
ukinipenda sana ni jipe ni jipe} ×2
onananana(ni jipe)mmmmh
me mwenzako nawezaga kupenda sikatayi kweli aaah
ndo nishazama usinipige kipapai
aah
me kwako nishabwaga moyo siulaghai kweli aaah
ndo ni shakwama unachotaka
sikataii aaah
najua bado huamini haya yamekuwa
(yamekuwa) eeeh achausiamini
siyo kuna pingamizi kwetu yoowee
hakuna madrama huku kwetu
hakuna maneno huku kwetu yoowee
tunapendana kivyetu
(chorus)
mapenzi malovu na wee
iwe shida na raha nikakule na wee
nataka ka picha na wee
ukumbusha pale tumetoka na wee
sema ni love Mimi na wee(ni Mimi na wee)
hizi pesa ni tafute na wee(ni tafute na wee)
Lemmy call you my dear
this love is real not bandia
if I love you utakimbiacoz my
love is real not bandia
(hooks and chorus)