Zawadi ft. Latinoh Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Zawadi ft. Latinoh - Nadia Mukami
...
Zawadi kanipa mungu sasa kwanini nisipokee,
Zawadi ya kiyoyozi palipo joto baridi unipepee,
Tena baridi si nyingi kiasi usingizi uniletee,
Nikitoka kazini uchovu mawazo unifanya yapotee,
Ivi ushapendwa manake nikipenda waga napenda kweli,
Uoga kwa wakutendwa usihofu mimi si kama wale matapeli,
Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe,
Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe,
Mmh eeeeh basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe mmmh baby, Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe baby,
Kina chako cha mapenzi nishazama(aaayaayaa)
nguvu zaniisha ukintazama(aaayaayaa)
Mi ni wako pekee mwengine hapana,
Wanaosema watasema sana.
nimepata zawadi zawadi yangu mmmmh
Nimepata zawadi zawadi yangu yeeeeeah
Nimepata zawadi zawadi yangu uuuh
Nimepata zawadi zawadi yangu uuuh
Zawadi yangu...zawadi yanguuu
Zawadi yangu...zawadi yanguuu
Kwa geti ntaekea mbwa kali ndio mafisi wasisogee, Nikulinde nikutunze sarafu mikononi usinipotee,
Niruhusu nikugande chawa
Umenishika pabaya,
Unachotaka mi ni sawa,
Maana nishapagawa,
Jamani penzi letu limebobea,
Nimepata wangu mi napepea,
Kitausi naringa nikitembea,
Unavonipenda najichekea,
Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe,(na wewe)
Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe
Mmh eeeeh basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe mmmh baby,
Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe baby,
Kina chako cha mapenzi nishazama(aaayaayaa)
nguvu zaniisha ukintazama(aaayaayaa)
Mi ni wako pekee mwengine hapana,
Wanaosema watasema sana.
nimepata zawadi zawadi yangu mmmmh
Nimepata zawadi zawadi yangu yeeeeeah
Nimepata zawadi zawadi yangu uuuh
Nimepata zawadi zawadi yangu uuuh
Zawadi yangu...zawadi yanguuu
(Basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe)
Zawadi yangu...zawadi yanguuu
(Nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe)
Basi leo nadeka nacheza napendwa na
wewe
Nishike nipinde nibebe nimenaswa na
ewe.