Jirani Yangu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Jirani Yangu - Guardian Angel
...
(wooi wooi)*3
wamebadilishwa jina wanaitwa farasi
ati safari ya uongozi ni farasi wawili
ona vile chuki na matusi yanakuja kwa kasi
wale wanatafuta kazi tunapigana sisi
(wooi wooi)
(chorus)
we (wacha
achana na mambo ya chuki
uyo jirani yako mnae chukiana naye
ndo ukipata shida utabaki na ye
nasema we wacha ( wacha!)
achana na mambo ya vita (wacha)
vita vya nini? kati yangu mimi na wewe jirani yangu mimi na wewe) ×2
kabla ya siku za campaign mlionana naye mwisho lini?
unavurugana na wenzako juu ya nini?
wale mnaishi nao kijijini. mungu ndio anapeana uongozi. we piga kura achia tume ya uchaguzi. ndo yao kazi acha wafanye iyo uamuzi. tafta jirana badala ya kuchomana chomeni kambuzi. tutavurugana uku chini. watuone kwa televisheni. makosa ya akili hua nini? tumeshawaweka mfukoni.
tutavurugana uku chini. watuone kwa televisheni. makosa ya akili hua nini?
tupatane tena uwanjani
(baada ya miaka tano
jengeni urafiki mtakosana tena
baada ya miaka tano tupatane tena uwanjani) ×2
(chorus)