Bendera Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Bendera - Guardian Angel
...
Napeperusha bendera
Bendera ya ushindi
maana anafanya Sasa sasa*2
Ni Mungu yule yule
Aliyefanya zamani anafanya sasa sasa
Ni Mungu yule yule
Aliyefanya zamani anayefanya kushangaza kusikika kupapasa
Ni Mungu wa maisha