Bingo Bango Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
Bingo Bango - Madini Classic
...
...
mapenzi majani yanaota popote
so I swear my darling nimeze nipotee
si unajua nakujali nipate nikose
nisipokuona silali mpaka nilewe niziiiiimeeeee
chumvi yenye ladha yake nikukose nilale njaa
daktari mwenye tiba zake usiniache na majeraaaa
maraaaashi yenye harufu yake nikukose nipate uvundo
ndege mwenye rangi yake upotee nikose raha
Tamu kama chocolate.... laini sema supagetti
hupendi uchokozi eti toto mwenye mwanya kama lesi
Bingo bango×2katoto tamu toto mango
lingo ×4 kukuacha ndo siweeeezi
.......
.......
wacha watuseme vibaya .....mi na wee hatuachani
kipenzi changu usione haya hii ni true love wala si utani......kwako ndo makazi yaangu..kipendacho rooho nishakula nyama mbichi..... kwako ndo makazi yaaangu... tausi njo chumbani
kwichi kwichi ....ata wanifunge minyororo kwako bado nitasema yes I do........ ata wakutukane kiporo..ladha yako bado naipenda tu.....
tamu kama chocolate.....laini sema supagetti
hupendi uchokozi eti toto mwenye mwanya kama lesi
Bingo bango ×2 katoto tamu toto mango
lingo×4 mamaaaa kukuacha ndo siweeezi