Kalongolongo Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2018
Lyrics
Kalongolongo - Madini Classic
...
Yeah yeah...
nikikumbuka zamani roho yangu inadunda
mpaka nashindwa kuelewa haya mapenzi kitu ganix2
Do you remember tulicheza kalongolongo mi na we
ukidengua kiuno mwenzio nadata nafeel shy
shy!
mi naremember ulichunwa kwa sana sababu umechelew kufika nyumbani sababu yangu sababu yangu unacry
aai!
zile nipe kidogo peremende moja tumumunye wawili
Kisha tukapaka mchanga kwa mwili haukulalamika eeh
ooh zile nipe kidogo ndizi moja tulikula me and you Mama alipoona alilalamika eeh
uliniita daddy japo mi ndogo na ulijua
nikikupa zawadi kipande cha mihogo haukununa
uliniita daddy japo mi mdogo na ulijuaaah
yeah aah..
I miss you
I miss you
ona mapenzi kichaa
kalongolongo
ona mapenzi uchizi
kalongolongo
ona mapenzi utoto
kalongolongo
don't be serious
kalongolongo x2
heeh...
unakumbuka ulipoletewa zawadi kwa huruma nilivyokuangalia
mi nikabaki napewa ahadi kumbe sio kweli nataniwa
je, unakumbuka nikikupa maridadi
ili upendeze Kama maria wenye nguvu walokosaga adabu wanichuna unalia
chuchu langu ni wewe
niliyependa kuweka mdomoni hata kunyeshe tulowe tepetetepe me and you x2
baby baby yoo
baby yo yo
me mwenzako sio mchoyo nikikumbuka naumwa moyo
na roho inadunda na feel so low
uliniita daddy japo mi ndogo na ulijua
nikikupa zawadi kipande cha mihogo haukununa
uliniita daddy japo mi mdogo na ulijuaaah
yeah aah..
I miss you
I miss you
ona mapenzi kichaa
kalongolongo
ona mapenzi uchizi
kalongolongo
ona mapenzi utoto
kalongolongo
don't be serious
kalongolongo x2
eeh oh...
bado mi naumwa nawaza ntapata wapi Kama yeye
tucheze kalongolongo tukumbuke za zamani
ajue vile ye ndo ameniumiza hakuna mwenye utu kama yeye
Kuna wachawi waongo na wapenda visirani.
chuchu langu ni wewe niliyependa
kuweka mdomoni hata kunyeshe tulowe tepetetepe me and you x2
ona mapenzi kichaa
kalongolongo
ona mapenzi uchizi
kalongolongo
ona mapenzi utoto
kalongolongo
don't be serious
kalongolongo x2
eeh..
kama hukumbuki
jina la perry si wanalijua
Simba sounds production.