I Love You Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
I Love You - Nally Chugaprincess
...
I LOVE YOU
ARTS - NALLY CHUGAPRINCESS
WRITEN - PASSO MUSIC
PRODUCER - SIZO THE BOY
Anayajua mapenzi kama ka somea
Anavyo ni handle utamu kolea
Anajua ni enzii aah kabobea
Kwa vyake vitendo
Habib selelea
Sa itakuwaje tushakuwa ka Mapacha
Me na fanana nawe Nishafanana na weweee
Ata iweje mimi sitokwacha
Nitagandana nawe nitagandana na wewe
Hny wewe tuu uuuh
Nikuchore na Tatooo
Umenitawala uuume nitawala
Marashi ya karafuu
Zile panda chini juu
Kifwani nalala oooh nalala
CHORUS
Niko kwenye dunia yako
I Love you
Aah me wako
Wa moyo wako
Niwe kama mboni zako
Nitumie utazamapo
Mwenye moyo wako
Oooh ooh oh
We nifanye niwe Ubavu wako
Uniona ulalapo oooh lala po
Wanifanya niwe ka tunda lako
Kwangu raha umegapo oooh umegapo
Nshalipaki mazima mizizi na shina
Yani nakupa yote
Mzima mzima wewe chukua chochote
Mchana kutwa nzima Kwa lunch na dinner
Nakupa kula yote
Haina kima waweza kula kokote
Hny wewe tuu uuuh
Nikuchore na Tatooo
Umenitawala uuume nitawala
Marashi ya karafuu
Zile panda chini juu
Kifwani nalala oooh nalala
CHORUS
Niko kwenye dunia yako
I Love you
Aah me wako
Wa moyo wako
Niwe kama mboni zako
Nitumie utazamapo
Mwenye moyo wako
Oooh ooh oh
We nifanye niwe Ubavu wako
Uniona ulalapo oooh lala po
Wanifanya niwe ka tunda lako
Kwangu raha umegapo oooh umegapo