Acha ft Nigga C Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Acha ft Nigga C - Nally Chugaprincess
...
Acha acha bhana (nimuachie nani)
Acha acha basi (hihihuuu)
Acha acha bhana ( Ok Ok)
Acha acha basi (fyyuuuuu)
Acha acha acha acha bhana
Acha acha acha acha basi
Hauna pesa unataka kubambia (Acha)
Dem wa mtu alafu unamsifia (acha)
Pamba kali kumbe umezigongea (acha)
Mstaarabu kumbe unawababuseya (acha)
Aaaaaaah acha basi
Mwanaume unatoboa pua (acha)
We ni fataki alafu nijengua (acha)
Mke wa mtu unamsumbua (acha)
Panya road alafu unamtetea (acha)
Achaaa achaa bhana
Una jealous una kiherehere (acha)
Unazinguaa yani unakimbelembele
(Acha basi)
Acha acha bhana (nimuachie nani)
Acha acha basi (hihihuuu)
Acha acha bhana ( Ok Ok)
Acha acha basi (fyyuuuuu)
Acha acha acha acha bhana
Acha acha acha acha basi
Eti mweupe kumbe unajichubua (acha)
Bia za ofa mpka unajitapikia (acha)
Huna lolote alafu unajisifia (acha)
Uwezi show mabwana wanakukimbia
Aaaaah acha basi
Bia za ofa na kujipendekeza (Acha)
Hayo masifa nakutongoza tongoza(acha)
Mtu ajafa unatengeneza jeneza (acha)
Watoto washule wakipita unawakonyeza
Aaaaah acha bhana
Una jealous una kiherehere (acha)
Unazingua yan unakimbelembele
(Acha basi)
Acha acha bhana (nimuachie nani)
Acha acha basi (hihihuuu)
Acha acha bhana ( Ok Ok)
Acha acha basi (fyyuuuuu)
Acha acha acha acha bhana
Acha acha acha acha basi