Njiwa Peleka Salamu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Njiwa Peleka Salamu - Nally Chugaprincess
...
njiwa peleka salamu kwa yule wangu muhibu,
njiwa peleka salamu kwa yule wangu muhibu,
umueleze afahamu kwamba nnapata tabu,
wemueleze afahamu kwamba Mina napata tabu,
hali yangu mahamumu maradhi yamenisibu,
hali yangu mahamumu maradhi yamenisibu,
ewe njiwa ewe njiwa peleka salamu
kwa yule kwa yule wangu muhibu x2
usiku kucha nakesha nayeye ndio sababu
usiku kucha nakesha nayeye ndio sababu
njiwa wakoaa njimaisha itanifika aibu
njiwa wakoaa njimaisha itanifika aibu
pendo langu halijesha Mimi limeniadhibu x2
ewe njiwa ewe njiwa peleka salamu
kwa yule kwa yule wangu muhibu x2
njiwa usihadaike nenda ulete majibu x2
nenda upesi ufike uvumilie swahibu x2
haya yote utamke ni yeye wa kunitibu x2
ewe njiwa ewe njiwa peleka salamu
kwa yule kwa yule wangu mmuhibu x2
oh, ukifika tafadhali
oh njiwa usiende kumhari
na hali yangu sio shwali
oh njiwa zifike hizi habari
ukisema kwa ukali mambo uutayaharibu x2
kamwabie sina hali kufariki si ajabu x2
ewe njiwa ewe njiwa peleka salamu
kwa yule kwa yule wangu muhibu x2
ewe njiwa eweeee
pelekaaaaaaaaaa salamu
pelekaaaaaaaaaa salamu
salamu.
added by weance