Umeniweza Lyrics
- Genre:Afro Soul
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Umeniweza - Ommy Dimpoz
...
Ola ola olaaa
Laalaa olaa olaa
Uzuri wako masha allah
Umzuri
Unavutiaa unapendaza
Unavyonipa mpaka raha ujuzi
Juisi ya miwa ndimu nakamuliwa
Penzi pupwe la baizi
Nimefiti liwe size
Cheko na tabasamu naninapewa
Natafuta mashahid jana nilifaidi
Visiwa vya arabu akachukuliwa
Umeniweza haya
Umeniweza haya
Naenda na nyota mimi na wewe
Hunabaya ka mtoto mchanga
Yangu pumzi nikupe wewe
Ongwa kwetu huba likosalaama
Penzi pupwe la bizi
Nimefiti liwe size
Cheko na tabasamu nanipewa
Natafuta mashahid jana nilifaidi
Visiwa vya arabu akachukuliwa
Umeniweza haya
Umeniweza haya
Sultan 001
King salaah
Poz kwa poz
Ommy dimpoz