Jibu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Jibu - Joyce Omondi
...
uuh uuh uuh oh oh ooh
(still Alive)
katikati ya giza wewe ni mwanga
uuuh
waniangazia aah
njia ya uzima
uuuh yeah
kati ya dharuba wewe ni nanga
hey huniachi nizame eeh
ndani yako nasimama aah
katikati ya huzuni
wewe hufariji hii
unanivuta machozi
ooh
haijalishi mitego
hujawahi ni hangusha aah
na hutawahi shindwa
uuh Yesu weh
we ndie jibu (mmh)
we ndie jibu
sita ishi kwa hofu
kwako mi ni salama
Yesu weh
we ndie jibu
Yesu weh
we ndie jibu (mmh)
sita ishi kwa hofu
kwako mi ni salama
jibu
wewe ni
yule mpasuaji bahari
aah
hadi leo watengeneza njia pasipo
uuuh yeah
tena we yule mponyaji
kwa neno moja tu
na bado wazidi na maku
hey yei
basi nifwate nani
ooh woo
ila ni we hey
nimkimbilie nani ooh
ila ni we
nimtegemee nani ooh
ila ni we
Yesu wangu
aaah wewe ndiwe hey yeah
we ndie jibu
we ndie jibu (wewe ye ye ye ye)
sita ishi kwa hofu (uuh)
kwako mi ni salama
we ndie jibu ( hey wewe wewe)
we ndie jibu
sita ishi kwa hofu
kwako mi ni salama
jibu jibu jibu
uuuh uuuh
suluhisho ni we
funguo ni we
siri ni we
wewe ni jibu
we ndie jibu
jibu we
we ndie jibu
sita ishi kwa hofu
kwako mi ni salama
hey hey
we ndie jibu ( wewe wewe)
we ndie jibu
sita ishi kwa hofu
kwako mi ni salama
funguo langu
we ndie jibu
siri yangu
we ndie jibu
uuuh sita ishi kwa hofu
no no no no no no kwako mi ni salama
Yesu weh
we ndie jibu
Yesu weh
we ndie jibu
sita ishi kwa hofu
kwako mi ni salama