UNANIMIX Lyrics
- Genre:Afro Soul
- Year of Release:2022
Lyrics
Lucky number Geeh Eleven
Lucky music for Life
Verse 1
Ulinitaka ukanipata ukanigandaganda vile unavyotaka
Nikanasa ukanikacha chenga Kona nyingi nyingi za kishamba siko juu siko chini nipo kati kichwani varangati ugomvi mixer kuvutana mashirt sitaki sitaki kupotezeana wakatiiiii ......
Umeonja utamu mmmmmmh wataka tuendeleze raha
Sina tabasamu mmmmmmh vipi nitakupenda mamaaa, oooooh ooooh oooh nimegundua aaaaaaaa
Chorus
Unanimix Dada unanimix kumbe unanimix kwenye fix za mapenziii
Unanimix kumbe unanimix Dada unanimix kwenye uongo wa mapenziii
Unanimix Dada unanimix kumbe unanimix kwenye fix za mapenziii
Unanimix kumbe unanimix Dada unanimix kwenye uongo wa mapenziii
(Instrumental )
Verse 2
Maana sipati usingizi sababu yako Facebook na insta Ni za kwakooo , ina maana matendo yangu hauyaoni unayoyafanya unahisi haya nichomi nauliza Sana ? We unanidanganya kwa mitandao mbona unanikana
Ubize wako ndiyo unanibana nashindwa show love na wew
Bridge
Ooooh oooooh ooooh nimegundua aaaaaa
Chorus
Unanimix Dada unanimix kumbe unanimix kwenye fix za mapenziii
Unanimix kumbe unanimix Dada unanimix kwenye uongo wa mapenziii
Unanimix Dada unanimix kumbe unanimix kwenye fix za mapenziii
Unanimix kumbe unanimix Dada unanimix kwenye uongo wa mapenziii
(Piano instrumental)