GHETTO La KISELA Lyrics
- Genre:Ndombolo
- Year of Release:2023
Lyrics
Ooow ooooh ooooh ooooooh aaaah aaaah eeeeeeee eh
Chorus
Ghetto langu la kisela , siyo ghetto la kishua ×4
Verse 1
Sahani moja sufuria mbili kijiko kimoja na bakuli Tu ni moja
Nikichoma udi siyo kwamba na wanga nachomaga Tu kupotezea puyaa
Taa ya ukutani Ina langi Kama saba kijani blue nyeupe njano na nyekundu..
Chini ya kitanda huwezi kosa kiberiti nawashaga hata Kama ikiwa midnight
Akija mtoto wakishua ndiyo anapagawa haishi kunisaifia eeeeeh kachachawa
Mara Niko sexy or namvutia akishika ndevu zangu ndiyo anapata wengi ,
Mtoto wakishua nenda kwenu utaniponza unakuja ghettoni mapenzi kuridhishwa
Maghettoni hatupiki mbaka mchango upitishwe masela wajichange ndiyo Dona tuliivishe
Kama mkono siyo mwepesi ndyo umelala njaa
Usilalamike mwanetu kawaida
Ghetto langu lipo pembeni ya mtaro ukitoka nje mwana unasugua Gaga
Sugua sugua sugua Gaga Kama huna ghetto mwana utaisoma
Sugua sugua sugua Gaga Kama huna ghetto Dada utaisoma
Chorus
Ghetto langu la kisela ,siyo ghetto la kishua ×4
Mapopopopopoo Po Po mapopopo Po Po
Piga yope usiogope piga yope piga yope usiogope piga yope usiogope piga yope