ME na WEWE Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
ME na WEWE - Geeh Leven
...
uuuuuuh oooooh baby aaaah aiyeee
Naona Raha kupendwa na WEWE, iwe kwenye jua na baridi niwe NAWE.
Mapenzi haya yani ue eeee, jamani ninavyo pendwa Mimi am gonna die.
pendo langu la thamani, silitupi mbali,
Liwe kando yako wewe me na WEWE.
siri zetu za chumbani , hawapaswi kuzijua
hivyo nielewe Mama we eweee.
heeey! heeey!
me na wewe , me na wewe.
( heeey)
me na wewe, me na wewe.
( aaaaaah)
me na wewe, me na wewe.
kifo kitu tenganisheee
aaaaaah heeeeeey oooooh aaaaaah aaaah aaaaaah
sitamani hata kukutuma, tushinde ndani
mahaba Moto Moto oooh ooo Darling.
michezo mingi kama Titanic , viutani
mmmh haya mahaba jama me hoi
hata kama kwenye dhiki na faraja tupendane Mama, ooooooh watuonee.
Tuwe marafiki kwenye dhiki me natanga nawe, ooooooh ili tupone.
siri zetu za chumbani hawapaswi kuzijua
hivyo nielewe Mama, we eweee.
heeey! heeey!
me na wewe, me na wewe.
(heeey)
me na wewe, me na wewe.
(aaaaaah)
me na wewe, me na wewe.
kifo kitu tenganisheee