Umening'arisha Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Umening'arisha - Pasha (TZ)
...
PASHA: Umening'arisha.
mmmh.....ahhhh haa ahhhahh
Walinicheka na kunidharau, wakanitupa na kunisahau,
ila ni wewe tu uu
Furaha kwangu nilisahau, japo kucheka angalau,
Ila ni wewe tu uu
Umefungua moyo na kunikabidhi, ilo pendo lako,
Uishi na mimi,
mmh
Umenitoa gizani, Umenileta furahani
Oh baby (baby)
Oh najiona,
Mtu mpya, Sababu yako wewe umening'arisha ( ah)
Najiona,
Mtu mpya, Sababu yako wewe
umening'arisha (ah)
Mh, Utasema my pain nishasahau
Mi furaha angalau (aww)
Mhh
Najiona, ( Wangu wa milele)
Najiona, (Nafuraha tele)
Najiona, (Uh uh)
Najiona......
Najiona, (Mimi na wewe)
Najiona, (Tusisikilize wale)
Najiona (ohh)
Najiona.....
Umefungua moyo na kunikabidhi,
Ilo pendo lako uishi na mimi,
Umenitoa gizani, Umenileta furahani
Oh baby, baby
Oh, Najiona,
Mtu mpya,
Sababu yako wewe umening'arisha
( Oh Oh, sababu yako wewe)
Najiona, (ehhhh)
Mtu mpya,
Sababu yako wewe (Sababu yako)
umening'arisha (Oh sababu yako wewe)
Najiona, Mtu mpya
Sababu yako wewe umening'arisha
(Oh oh sababu yako wewe)
Najiona (ehhhh)
Mtu mpya,
Sababu yako wewe (Sababu yako)
umening'arisha (Oh sababu yako wewe)
Thanks!!!!
@Clarahcut3