Hidaya Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Hidaya - Pasha (TZ)
...
dar es salaam kuna warembo kibao
nimezunguka nishakutana nao wenye uzuri wakila sifa tena na pesa zaoo mi sina mpango nao turuturuuturuuu mi sina mi sinaaa Aah mtazidi kusema seme tu vibya mpenzi wangu anasura mbaya×2
Asira hasara zisije kuzua msara na dan ntakunuka Ziro mtumzima nkashindwa lala sivibaya kumpenda mtoto hidaya nasema si vibaya kumpenda mtoto hidaya nishaskia story kuhusu kuhusu wangu my dear moyo wangu ukaumia