Ni Soo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Ni Soo - Pasha (TZ)
...
penzi unalonipa me sijitambui ni soo(mamaa)
mapenzi unayonipa me sijielewi ni soo (baby)
penzi unalonipa me sijitambui ni soo(mamaa)
mapenzi unayonipa me sijielewi ni soo (baby)
kama pesa hushangai
Gari kwako si thamani
waendeshatoka zamani
udanganyike nanini??
kama pesa hushangai
Gari kwako si thamani
waendeshatoka zamani
udanganyike nanini??
napenda penzi lako unalonipa
kama njiwa kambi nishapata
unanipa kile nnachotaka
baby ulaaa
ninapotouch your body
unastukaa
i love you girl kwangu
we malaikaa
ninapotouch your body
unastukaa
i love you girl kwangu
we malaikaa
penzi unalonipa me sijitambui ni soo(mamaa)
mapenzi unayonipa me sijielewi ni soo (baby)
penzi unalonipa me sijitambui ni soo(mamaa)
mapenzi unayonipa me sijielewi ni soo (baby)
Raha tele nikiwa nawe
waseme tu sitokuacha we
naona kama bahati kuwa nawe
siamini kama niko na wewe
Raha tele nikiwa nawe
waseme tu sitokuacha we
naona kama bahati kuwa nawe
siamini kama niko na wewe
we dada kwako nimekolea
kwa penzi lako unalonipa
nafanya faster nisije chelewa
nifunge nawe pingu za maisha
i love u so much baby feeling right
when you take my baby i will die
i love u so much baby feeling right
when you take my baby i will die
uaaaaa i will dieeee
mhhhh eee
penzi unalonipa me sijitambui ni soo(mamaa)
mapenzi unayonipa me sijielewi ni soo (baby)
Basi nipe na me nikupe
mapenzi masham sham sham sham
nipe nikupe
nipe nikupe
Basi nipe na me nikupe
mapenzi matam tam tam tam
Basi nipe
nipe
nikupeeeeeee
aaah aaah aah aahhhh mhhh eeeee
pasha....
KGT
Grecords
penzi unalonipa me si........
mamaaaaa
ni soooooo.......
mamaaaaa
mapenzi unayoni me sijielewi ni soooo babyyy