Why Me Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Why Me - Timmy tDat
...
msaka tonge niko Streeti(again),naisaka doh
ndo naanza mziki ila bado sjapata show
nliiambiwa kuwa elimu ni ufunguo mbona nimesoma au nlio na sio wa mlango uo
popote nazisaka chambi,,shida zingejenga mwili ningeota kitambi
madada wa kitaa nao wananyea kambi
utawaskia "mwizi bwana gani uyo mvuta bangi"
Hawa mabeshte waafrika,kutwa kuigiza maisha feki uko insta
Chapa naitafuta ila bado haijalipa
nimmiliki manzi msupa kama VERA SIDIKA..
why me,,why me,,why mee kila nachofanya kinakua zogo
why me ×2 napambana wala si kidogo
why me,,why me,,why me ata marafiki wamekua mbogo why me×2
why meee
(timmy tdat)
sina fare toka inda natembea
nina mkidi hom natry kumlea
mathe pia haezii tembea
mi na shida tushakua kama pair
napiga chuom nakutakana na afande
sili nyamwa na anataka tu kipande
sina fon mazee sina ata kabambe
ntambiaje home leo nalala rumande
Pia si tunataka hizo brand new car
wachaa kutu judge na vile si hukaa
tulishareform tulibadilika
tupatie chance tukajenge jina (rrah)
why me......
why me......
why meee.......
ukihustle adi upate doh
io ni mori
ukihustle adi ukate roho
io ni ngori
faraja ndo afta dhiki
na daraja hazipitiki
kabla ata saa mbili wanasemaga ni sisi
ukimwaga jasho alafu upate doh
....io ni mori....
ukihustle ady ukate roho
....io ni ngori .....
nimeacha pang'ang'a napambana na nang'ang'ana maana hawa mbang'a
washenzi sana (*badoo*)
...
bado nahustle sjapata doh
namwaga jasho ka ngorocho kariakor aee
namwomba M-O-L-A promotor apige simu za show........Salary ndo inaleta temptation (heee) na makarao wao nao bado wanataka attention (hee) so tafuta
Kasabuni ukaspendi bunda kitaa itabambaa
na mbio za sakafuni sio za Pundaa
why me
why me
why me
kila nachofanya kinakua zogo
why me
why me
why me
napambaana wala si kidogo
why me why me ata marafiki wamekua mbogo
..................??????.......................