Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2018

Lyrics

Kitambo - Timmy

...

intro...

Ati Hakuenda campo

But kila weekendi utampata hapo (kila wikendi)


(hook)

Nilikuwa nashinda kwa streets (si kitambo)

Sina hata kitu ya kueat (si kitambo)

Nilikuwa nadandia ma3 (si kitambo)

Keja single tunashare watu 3 (si kitambo)

Oooooooooooo

Mwaka uno si kitambo 

Ooooooooooo (ni kasabuni)

Nasai si kitambo (Musyoka)

Leo tunafanya mambo

Ooooooooooo


Verse 1


Hey ninaraise bar, hata wawezi lewa

Ni December mpaka Jan, Mi ndo naongelewa

Ni Kampala mpaka Dar, Mi ndo naongojewa

Si Jah Jah alishasema, Omba na utapewa (eh)

Wafuasi wananifollow me (eh)

Piga picha post tu tag on me (eh)

Pewa maji alafu bill on me

Tuna makingi ma money moves, Cardi B! (eh!)

Hawakujua nitakuwa mtu badu!

Hawakujua nitapendwa na ma girlu!

Hawakujua nitakill bila gun!

Kumbe kuna ingine hapa chini ya mbavu!


(insert hook)


Verse 2


Garbage ilikuwa ndo job niliduu (ndio job nilidu!)

Sina hata fare natembea kwa miguu (natembea kwa miguu!)

Nilifanya job kwa stage ya matatuu

Nikipanda stage ma wathii waniboo

Juu garbage hiyo job nilikuwa ninaduu (eh! eh! Ah! Ah!)

Kumbe wakihate manze joh napenetrate

Jah Jah ananiwatch man nika ako kwa gate

Mi nakuanga sure buda sikuwangi kwa bet

Cheki kashanipea na hata hatuja date


(insert hook)


Verse 3

Nyasaye Ogwetha (x 3)

Nyasaye ema Gwetha

Nyasaye Ogwetha (x 3)

Nyasaye ema Gwetha

Vitu sasa ni better

Success ni dem na date A

Juu mimi ni go getter

Ai time mbaya check later


(insert hook)


Mhhhh Aha!

Ati Hakuenda campo

But kila weekendi utampata hapo

Haha Aha!

They know


Kasabuni to the world

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status