Hapa ft. Ssaru Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Hapa ft. Ssaru - Timmy tDat
...
Timmy Tdat – Hapa Lyrics Ft. SSaru
Hapa Lyrics By Timmy Tdat Ft. SSaru
So nishike wapi babe (Hapa)
So nishike wapi babe (Hapa)
Nishike wapi babe (Hapa)
Hapa na hapa
Nitakupa wapi babe (Hapa)
Nitakupa wapi babe (Hapa)
Nitakupa wapi babe (Hapa)
Hapa na hapa
Girl you are – me read your beauty
Can I get some of the quality to this cutie
Ananipa kiti eti mi ndo mwenyekiti Chairman
mi ndio nakaa fiti Macho zako fiti manze
you ni good looking Nitalipa depo manze
kama kuna booking Vile umeiva manze
no more cooking Nishakupata so no more looking
Missionary baby girl face ceiling Change position hebu jaribu kneeling Umejaza poa hii ndo nice experiece So nishike wapi babe (Hapa) So nishike wapi babe (Hapa) Nishike wapi babe (Hapa) Hapa na hapa Nitakupa wapi baby (Hapa) Nitakupa wapi baby (Hapa) Nitakupa wapi baby (Hapa) Hapa na hapa [Ssaru] Eyo Timmy bomb bomb killer come give me Do the dirty whine me nah fine gyal can see me Dance to the floor nimekuja na kamini Crop-top ndio form ndio usorore kipini
Dubai twende shopping ya Gucci Ku ku kuwai ilibidi nifanye bookings Mi staki chai babe mi nataka suchi Na tufike Nai tuwafunze Isukuti Nitakupa amani sio vita Ju mi huwa sina visa Nataka tu tuchill tu kwa keja na mambichwa Ukishikwa na munchies hapo kuna pizza Ukidorora dorora nakupatia ka teaser Tunapull up ku voom vooom kimaster Picha zako mi nazoom zoom na data Kama ni watoto mi nitakupa tupacha Alafu baby hio chum chum nataka So nishike wapi babe (Hapa) So nishike wapi babe (Hapa) Nishike wapi babe (Hapa) Hapa na hapa Nitakupa wapi babe (Hapa) Nitakupa wapi babe (Hapa) Nitakupa wapi babe (Hapa) Hapa na hapa So kumbe we Mtaveta jo ndio maana we mtight Kumbe we Mtaveta jo ndio maana we Mtaita So kumbe we Mtaveta jo ndio maana we mtight Kumbe we Mtaveta jo ndio maana we Mtaita Kabaridi kanatamba mi ndio murder Na wanapanic wanaogopa kushandwa Mdogo mdogo tu nakuja kuwapanga Bumper to bumper wangu hasongi further Nakupeleka TZ pale kwa Border Namanga Narudi Kasabuni yaani nakata na panga Nakumurder so napanga matanga Nakuchoke manze prrr Mi ni Mtaita na yangu jo ni tighter Ninaleta nare mpaka umetupa lighter Sijawai jua unakuwanga jo Mtaita Unaleta nare hata nimetupa lighter Check Out: SANYU - Umutini Lyrics So nishike wapi babe (Hapa) So nishike wapi babe (Hapa) Nishike wapi babe (Hapa) Hapa na hapa Nitakupa wapi babe (Hapa) Nitakupa wapi babe (Hapa) Nitakupa wapi babe (Hapa) Hapa na hapa So kumbe we Mtaveta jo ndio maana we mtight Kumbe we Mtaveta jo ndio maana we Mtaita So kumbe we Mtaveta jo ndio maana we mtight Kumbe we Mtaveta jo ndio maana we Mtaita Mi ni Mtaita na yangu pia ni tighter Tight tighter Mi ni Mtaita na yangu pia ni tighter Tight tighter (It’s Hammado on the beat)
*lyricsjah.com/2021/01/timmy-tdat-hapa-lyrics/