Tukatiane Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Tukatiane - Hamadai
...
Habiti,aiii sweety jina gani unapenda wewe aiiii wewe wapi tufanye kwichikwichi chumbani ama kwenye mitimiti nakusikilize wewe yani wewe watembea na roho yangu nimebaki kuvuli tuu majako wambie wametoka gavagavah penzi umelitia pingu umeongeza na kifuli