Zabwa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Zabwa - Hamadai
...
Aaayaaaih...alright
Mapenzi ni safari ya wawili me na wewe kimwanaaa
Dhahiri tusifanye siri wajue twapendana
Tuzae na mapacha wawili tuitwe baba mama
Usisikize wanafiki majirani tutapalanganya
Nafurahi nina bonge la toto,navimba nikiwa mtoko
Me naye ni kulwa na dotto,wananatetemeka eee
Chumbani mafoto mafoto,
jikoni mapochomapocho,
birian makonda makoko una nanenepa ee
,Siyawezi oh siyawezimapenzi ya kitoto siyawezi
Napenda vinono vikubwa mie
Viduchuviduchu siwezi
Siyawezi ooh siyawezi mapenzi ya kushare siweziiiii iii
Zabwaah oh ah zabwaaah eeeh mi kwakwe zabwa
siyo ndimu na chumvi kwake zabwa mie
Shamba heka moja uwezo wa kununua sina,
aah! sina.
Ntakulisha chombeza na ugali wa mhogo dina
aah! Dina.
Nivumilie vaa midosho soon tutaenda china
Chinaa.
Maradhi usijali napambana kufungulie Bima
Sitamani kuache na njaa,
Akili yangu zoa zoa,
Naganga kusaka chapaa
Mamaee
Kitandani wanipa raha,
Sitamani hata kuchomoaa mamaa
Na ujanja wangu labda @Hamadai
Siyawezi oh siyawezi mapenzi ya kitoto siyawezi Mapenzi ya kushare mimi haya yaya
Zabwa zabwa wakizabwa!!!
Wakizabwa mie.×2
Siyo ndimu na chumvi wakizabwa mie!!!
WhatsApp message 0620397580