Msela ft. Chidi Beenz Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Msela ft. Chidi Beenz - Hamadai
...
Mbona ili balaa mtoto yuko smart mi ndo falaa
Mh kanipa ishara nimfate mbezi beach sala sala
Hatoamini nampiga mapicha nipate content (content)
Na post na insta nipate comment (comment)
Sijuih ilikuaje kupagawa na mimi mi mtoto wa uswahilini
Niulizieni anataka nini mi sina kitu zaidi ya mpini
Anasemajee aah anatakaaje
Amepagawa na msela na maselaa
Kavamia gheto la mselaa la mselaa
Acha nimpelekee moto
Amepagawa na mselaa na mselaa
Kavamia eeeh nimfokoe fokofoko
Kavamia gheto la mselaa la msela
Kavamia eeh ilo toto la kishua
Chichi chichi chichichii
Nanyongea navutwa mimi anadata yeye
Wanapotea hataki nyinyi nampenda yeye
Na tukiongea mipango mingi anapanga yeye
Kwa miguu toka salasala yenkee
Kichuguu kinavimba ilala waletee
Pocho pocho najaza menu navunja yai
Kumfuu mapigo mimi misamba yeye
Akitambaa kama msambaa
Yani yenkee yenkee yenkee yenkee
Hana kuzubaa ukimtekenya ndio ndo acheke ndio acheke
Kapagawa amedata hoi na msela
Sikohoi natengewa chai ya mpera
Amepagawa na msela na maselaa
Kavamia gheto la mselaa la mselaa
Acha nimpelekee moto
Amepagawa na mselaa na mselaa
Kavamia eeeh nimfokoe foko foko
Kavamia gheto la mselaa la msela
Kavamia eeh ilo toto la kishua
Toto weee acha nimpelekee