Loading...

Download
  • Genre:World Music/Folklore
  • Year of Release:2022

Lyrics

Shemeji - Manengo

...

habari za siku ewe shemeji

habari karibu mgeni kwetu mwenyeji

safari imekuwa salama

kwetu pongezi ni muda hatujaonana imepita miezi

Dada angu mwenye kila sifa ghari

mwenye uwezo wa kumchanganya

kila aliekuwa rijal

ndo amefanya mpaka tumepanga safari

umewafata wakwe uje kutoa mahali

Ila kabla hauja timiza hadhima yako

Kuna Jambo mm ningetaka kujuza

kwanza nata kuuliza

penzi lenu Lin muda gan?

nahitaji jua Kama umemjua kiundani

coz hajatushinda sisi tu

walotest ndoa wamedumu nae wiki tuu

ye ni mzawa wa home Vita na mbwembwe

ukiwa ukawa Kama kawa ye ni kinda la membe



kwa kuwa mke dada angu hafai

kwa mapishi hajui chochote zaidi ya chai

pili anadai mikononi mkaa haumfai

utamwaribiaa kucha ata chakaa hang'ai

Gau havai vyake ni vimini na viskin bro

nguo mmpaka afuliwe na house geli

msosi awekee mezani maji atengewe bro

tena kwa wewe wa Iman dada hasali ng'0

haambiliki kitanda hatandikiika

tena ni bingwa wa michezo isiyo na mashabik

kitaani ana gengee la mashabiki

mashosti zao ni pombe na mafataki

shule tena hataki ye born town

we ni gari ye ni bams lazma UTA slow down

ye advance kuwa nae mpaka C tatu cotton

ka kesho mwenzangu una B flat



Ni kwl mungu kampa bonge la figa

Kama urembo ungekuwa kupaji angecheza LA LIGA

Ana vaa pendeza nenda disco cheza

sio kila merry bikira matendo yatajieleza

je una laki ya saloon lakin

Dada yangu jembe halimi mapaka atiwe mpini

kwenye kazi hakijitumi

na wazazi wamechoka

kunyonya Mara kumi kumi

huu sasa ni uhuni

mfano mkihaidi ata nyoka

izo ni mbio za sakafuni

kwann nimseme ndugu wa damu kwann

tabia ni anike uzifahamu

lkn kwann nisimuache atabasamu

kwenye tamu ya ndo na kwake ikafika zamu

mm kwakua tu naipenda feature yako

we mwambie apige pasi Kama umechoka ndoa yako...........

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status