Asante ft. One Six Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Asante ft. One Six - Izzo Bizness
...
One six
Asante
hahah, pres -music baby
Asante mungu
trik on the bet
kuwa hapa baba ni baraka Zako,
ahsante mungu mana mimi ni mja wako,
naninakiri na juhudi ya neema zako,
na nishakula kiapo nitakwepo pale ulipo,
yeh...
asante mungu mana Leo ni good day
nimeamka kwakusifu na sikwachi kupray
na sokwamba me ni msafi labda me
Sikosei
na so zali upendo wako mimi leo yu hai
hizi neema baraka zote ingekwaje
unanidai
ninakula ninashiba neno me nafurahi
mja wowote hunatabaka baba
we huchagui
kwanguvu zote nakusifu mungu wetu yu
hai
yeah...
kuhsu shetani baba I don't know
hatoweza hata punje kunicontrol
ulikonitoa mbali sana baba god you know
kwako huku raha sana dairly me na bow
yeah
chorus
baba me nasema kwely asanteeee
neno lako ntasambaza walipateeee
me ni msafi nipe divai na mkateeee
kwashida na raha usinache nikumbatee
eeeeee...
yeah... tunaanguka tunainuka
twasimama twakimbia
yeah.. baba yetu hatuachi Baba yetu
anatupenda
nasema asanteeee mungu baabaaa
ah.. weee mungu baabaaaa
nasema ahsanteee mungu babaaa
ah.. weee mungu baabaaa
yesuuu ndiyeeee mkombozi wangu
hataa nyieee wote ndugu zanguuu
niwaambieee zote siri zanguuuu
yeyee ndiyeee tumaini languu
yoooh
ubarikiii ukanibarikiii
mengi yanaonekanaa
hata matatizo vipi ni yeye nasemezana
makanisa misikiti kwake tunaungama
matatizo vizingiti kwake vyawezekana
yeah,,
mungu baba muumba mbingu vyote na aridhiii
waja wako mbele zako vyote twakukabidhiiii
shetani me namwonya asipite anga hizi
ni kisanga utapigika ubaki na bumbuwaziii
Walemavu unaponya na vipofu wanaona unatibu wenye ukoma paka wenye ngoma
baba we ni doctor noma na wote tunaona
me nakosa lakusema zaidi ya baba asante Sana
yeah...
tunaanguka tunainuka
twasimama twakimbiaaa
yeah, uh
Baba yetu hatuachi
baba yetu anatupendaaa
nasema asanteee mungu babaaa
weeee... mungu babaaaaa ×2
ata kias gani tukikukosea baba we unatusameheeee
?????
we ni mwingi wa misamahaaaa
angazia eeeeeeeeh mmmmh a
u unangazieeeeee.....
mbinguni me sikai ?????,..........
nasema asanteee mungu baba
ah weeee... mungu babaaaaaaaaa ×8
(((prepared by princess Alice)))