Nimefika Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Nimefika - Timam Evans
...
eeeh oooh
kakiwa kameshika nawe ndo mwangaza
katika maji ya utulivu hunilaza
wewe ndio ngao yngu,tumaini langu niwe.
Umekuwa tangu day one hujang'ada hakika wema wko kote ntatangaza niwaambie wewe ndio ngao yangu tumaini langu.
CHORUS:
Kwako nmefka staki raundi sikuchochi nmefka ntaenda wapi bla ww nmefika.
Naweka Mambo wazi kwako nmepta makazi punguza ujuaji wangu.
Mbali na we mistaki hata wanajaribu n ganji nmekwama nmekwama kwako nakumbkanga nlipobisha ulifungua mlango nikaingia umenipandisha n upendo juu haubagui n sitasita kila niwazapo umbali huu n ww mchungaji wangu