Poison ft. Country Wizzy Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Ahhhaaa eeehehee
oooooohh oohoooo
poison poison
sumu kali yani
(ahhaaa haaaa)
poison poison
sumu kali yani
(ahhaaa haaaa)
Mama you knock me down
Mike tyson
Sumu kali kama python
Umenizimia data
Mnara hausomi
Ume nibebea kichwa
Sisikii sioni
Una asali mdomo
Kina sumaku kiuno
Sibanduki umo umo
oohoo mtoto anapiga show
ohhoo wani suhuza roho
Usiombe nikung'ate ng'ate yeeh
Unikung'ate ng'ate yeeh yeeh yeah
poison poison
sumu kali yani
(ahhaaa haaaa)
poison poison
sumu kali yani
(ahhaaa haaaa)
ohh my God ,sumu kali aisee
Aki kungata utaponaje
ooh my God nimkali aisee
Anavyo ingata na paralyzed
Usiombe angate chini ,chini ,
Machokuduwaaa
Mi na pagawaga pagawaga
aki pelekaga hivi hivi hivi akikatikaga
Hapo ndo nadata
Sionekani ,ndani ni msala
Nimefichwa ndani ,ni msalaa
Sionekani mtaani ni msala
Nimefichwa ndani ni msala
usiombe nikung'ate ng'ate yeeh
usiombe nikung'ate ng'ate yeeh yeeh yeah
Poison Poison
Sumu kali yani
(ahhaaa haaaa)
Poison poison
Sumu kali yani
(ahhaaa haaaa)
usiombe nikung'ate ng'ate yeeh
usiombe nikung'ate ng'ate yeeh yeeh yeah
aunadoa aunadoa mtoto sumu kali
aunadoa aunadoa baby gal
aunadoa aunadoa mtoto sumu kali
aunadoa aunadoa baby gal
aunadoa aunadoa
aunadoa aunadoa
yeeah yeah
poison poison
sumu kali yani
(ahhaaa haaaa)
poison poison
sumu kali yani
(ahhaaa haaaa)