Unakaaje Chini Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Chin chima chichi Chichi mama
Unakaaje chini
Watu awasimami
Aaaaiiii wewe
Unakaaje chini (hee hee)
Watu awasimami wanaenda tu
Joh Joh Joh joh (joooh)
Unakaaje chini Joh Joh Joh joh (joooh) (Aaaaiiiii wewe)
Watu awasimami wanaenda tu
Chibolo bolo chibolo cheza
Ita mapweza ita mabingwa
Chimodo modo kiu legeza
Tunawekeza, Utaajiweza
Unavuta shuka, Tunavuta guta
Unavuta muda, Tunakuburuta
Utaifunga mita..
Watu wanapita baba marahaba Weka heshima
Kupekupepe pekupe kupepeeeh peku pepe kupepeeeee (kupeeh) x2
Aaaaiiii wewe
Unakaaje chini (hee hee)
Watu awasimami wanaenda tu
Joh Joh Joh joh (joooh)
Unakaaje chini Joh Joh Joh joh (joooh)
(Aaaaiiiii wewe)
Watu awasimami wanaenda tu
Watu awasimami
Dar kugumu Ila atuami
Mashuga Dady, Mashuga mamy Ni kibarua
Watu wanavuta yanii (Weeh)
Ustazame usoni Tunauwa nyani
Piga ya kichwa, Piga ya shingo
Nikute viwanjani, Kama ulingo
Watoto wananasa, Kama ulimbo
Kupekupepe pekupe kupepeeeh peku pepe kupepeeeee (kupeeh) x2
Aaaaiiii wewe
Unakaaje chini (hee hee)
Watu awasimami wanaenda tu
Joh Joh Joh joh (joooh)
Unakaaje chini Joh Joh Joh joh (joooh) (Aaaaiiiii wewe)
Watu awasimami wanaenda tu
Kupekupepe pekupe kupepeeeh peku pepe kupepeeeee (kupeeh) x4
Aaaaiiii wewe
Unakaaje chini (hee hee)
Watu awasimami wanaenda tu
Joh Joh Joh joh (joooh) x2
Unakaaje chini (Aaaaiiiii wewe)
Watu awasimami wanaenda tu
Joh Joh Joh joh (joooh) x4