Maelekezo Chapter 2.5 Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Maelekezo Chapter 2.5 - Slimsal
...
Si nilikua nimechill kwa office nikinywa coffee, Na Microsoft office on nikiandika copy
Ghafla wakaninyooshea microphone I was like no please, sikua nimejiandaa kwa hii speech, but I hope is, time for me to speak please msinpigie makofi, Mana kidudu ani snitch ntakurudishia makofi,
Nimeona video zenu, mnaita vichupa
Wanawake mmevalia vichupi na nyie mmevaa vichupa
Nimeona six pack zenu but I still love 2pac, na mistari yenu ni ya ...khoohrr.... puh pah!
Nawapongeza magreatest of all time, mliona ngoma za kitoto hazikesh
Staki sema eti mziki ninaudai, ngoma zangu ni mikopo hazikesh huwezi lipia hii, I do it for I. if I do it for you, itabidi ujidai na mkitaka niache hii, itabidi nidie, na Kama umepata free pia itabidi nidai
Kwenye game nipo Kama sipo kinyume Cha Moni, nimo sjawahi kusepa. Ghostwriter anayefutwa jina ubaoni, but wino am on your paper
Kwenye uandishi mi Niko na mad am, kesi za mauaji nyingi ndo mana na madamu, ntawapatia Fifi mpambane na madam, na mtakwama Kama tairi ilostack na mud, um
Mama anajua, am the son, sjawahi kuwaka tangu nzaliwe man, yeah am sober, sjawahi kutesti so many bars am not interested, for the rest of my life am not into resting, na guess am getting started am into resting, nilikua heavy tangu 458 kilometers, imagine damu yangu ilibebwa na Godzilla
Na nilipokuja dar nikamkuta Chali, skua mkubwa Sana bado nilikua chalii, Mziki huu hauhitaj wasafi sjasema usioge boy, nyosha ngumi juu Kisha Piga moyo konde boy, bongo movie ndo wamekuwa singers*, singers ndo wamekuwa bongo muzika **
Watoto wanawine their waist alaf rika, lao dogo sababu ya we star afrika, unawaimbia uchafu unawaste *** , alafu hiyo bongo fleva? au West Africa
Siwafichi, sipendi features. Siwadiss, nawadiscuss
huwa ndo we hunioni kenye event, sababu nikienda everybody is looking at me strange
Nkiwa na glass ya drink isiyo na kilevi, nikiwaskiza walevi wakinionesha mapenzi, wakinipa ukweli ambao huwa hawanielezi kipindi wakiwa sobber that shit crazy
Kwahiyo mi star mkinipa mialiko, hakikisha hamniweki mi Aliko, naweka akiba ya maneno next time ewe njiwa wa Ali kiba ntumie Salam
Nobody is safe dear, this is disaster, mwenye hatia na asiye na hatia itampata. I swear to God sio utani wanakaa, the only way wanashika usukani no wanakaa? na
Nakuna zaid ya kibao Cha mbuzi, ndo maana Kuna line zitakuna wachambuzi. Ssi ni wacha Mungu sio wachawi so washa music, wacha Mungu aitwe Mungu tu, usimuudhi