Funga Vioo ft. Moni Centrozone Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Funga Vioo ft. Moni Centrozone - Slimsal
...
Piga block, vaa miwani, funga vioo
Ah, piga block, vaa miwani, funga vioo (Tongo Records, baby)
Hello, sina namba yako nani mwenzangu?
Oh, kumbe wewe we sio mwenzangu
Na nishafuta namba yako kwa simu yangu
Kwani simu si yako? Simu si yangu
Hata Moni akim-date Hudda Hudda from Nai
Kwenye simu yangu nitamsave Shem Nai
Wakiachana naeza funga vioo kwa Shem na hii inamanisha i′ll be there morning and night for my nigga
Fuck Instagram love double tap kwa middle finger
Mbona ham-mention jina langu kwa beat zenu nlizopiga?
Asa nafunga vioo staki tena upashkuna
Afu nafunga vyoo uende utafute pa kunya
The dope rapper stand up! Wanasimama wengi
Lakini Slim akienda hawasimami baby
Wana si mama wengi, Hawa, si mamy baby, hahahaha
Pi-piga block hadi ndugu, haina gharama bro, hm
Shangazi and you too nshakufungia vioo
You used to be my boo boo now we don't talk anymore
So tuendelee na ububu, let′s not talk anymore
Piga block, vaa miwani, funga vioo
Ah, piga block, vaa miwani, funga vioo
Ah, piga block, vaa miwani, funga vioo
Woo! Piga block, vaa miwani, funga vioo
We, tafuta wa kumpiga kamba usiniletee news
Siskilizi views wala siangalii views
Ndugu hawajui ninapoishi nina good view
Nina few viewers ila ninavuka viunzi
Pyuu! Nimesema ninavuka viunzi
Mnantafuta leo nina hela mlikuwa wapi juzi
Sijasahau mliyoyasema kipindi mwanafunzi
Wakati mama anansomesha mlisema ntaloose
So, funga vioo to my fucking brother
No usishushe window kuna antivirus
Eh? Hii mistari inanchanganya, antivirus?
I'm sorry ka nimekuchana bahati mbaya
Na kama kweli nimekuchana that's a bad blood
Damu zetu hazijaendana you are not my dad
The fact baba amefukiwa kwa udongo it makes me mad
Na nikikuona I swear to God I′m gonna play blind
Nilikuwa na machale kutowaonesha maisha nnayoishi
Aika funga vioo tulale waambie, "Good night-y"
Piga block, vaa miwani, funga vioo
(Drink water then mind your business)
Ah, piga block, vaa miwani, funga vioo
(Kunywa maji then mind your business)
Ah, piga block, vaa miwani, funga vioo
(Ah, drink water then mind your business)
Woo! Piga block, vaa miwani, funga vioo
(Malume na Centrozone, East Zoo, baby)
Cha kwanza na unfollow social media halafu kolo akinitext na blue tick
Nikiskia boya kanichana Ricky media nami page za tabloid huwa naskip
Hamuezi nipa stress nshakunywa tomato juice
Usishangae wana waki left group lako la harusi
Funga vioo no shikamoo mi mchizi sifuati taboos
Halafu nachana alphabetical slaughter kama pappoose
Na tukikutana backstage, mwendo wa kigae
Jeshi la mtu mmoja malume lazima ukae
Haina mambo wala what′s up, man? Mwendo wa kigae,
sina time nakula reggae tu mangoma ya Kalikawe
Uh, yeah, kuna mademu wanajifanya wana password
Eti wananiita jina la kwenye passport
Funga vioo ma-snitch wote walioniombea downfall
Buyu lake kama mpangaji na landlord
Ukipenda tia neno sio unaweka fire emoji
Na sio mayenu hii ni yope kama Enosi
Piga block, vaa miwani, funga vioo
(Drink water then mind your business)
Ah, piga block, vaa miwani, funga vioo
(Kunywa maji then mind your business)
Ah, piga block, vaa miwani, funga vioo
(Ah, drink water then mind your business)
Woo! Piga block, vaa miwani, funga vioo
(Ah, kunywa maji halafu mind your business)