Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2021

Lyrics

Yote Yatajiri - Slimsal

...

Unayoyatami yote yatajiri

Ndoto za maninja ni, kuja kutembea na all stars

Wakati mtaani Kuna sister ambaye, ashatembea na all stars

Oscar, anamwota wolper, wolper anaiota Oscar

Oscar haendani na wolper, na wolper haendani na Oscar, wakikutana watakua dream team, so obvious wataendelea kuota, sjui Nani awaambie don't sleep, wake up and focus

We unataka kuwa aliko Dangote, na Dangote nae anataka kuwa Aliko Dangote, awotee

We unataka kuwa aliko Dangote, na Dangote nae anataka kuwa Aliko Dangote, na isitoshe

Unayoyatami yote yatajiri, Ila mmoja lazma awe juu mwingine chini

Na aliye juu, usimfate juu, sababu aliye juu ni Mungu tu (Mungu Tu)

Uspende Sana kutolea macho kila kitu tu, sababu Kuna vitu vingine ni vitunguu

Unayoyatami yote yatajiri, (go on)

Endelea endelea endelea, (kuota)

Unayoyatami yote yatajiri, (go on)

Endelea endelea endelea, (kuota)

Unayoyatami yote yatajiri, (go on)

Endelea endelea endelea, (kuota)

Unayoyatami yote yatajiri, (go on)

Endelea endelea endelea, (kuota)

What's my name? what's my name? Slimsal.

And what you want? what you want? Go fast.

Heh, heh! eyy tunchi. unataka niende fasta, weka mtu blind. Let's go!..

Mi siuzi sura Wala Sina sura mbaya Wala sinunui sura sitadroo ya malaya hata Kama visura wanauza sura Bei mbaya sura zao zikiziona zetu zinaona haya

Masudi sura mbaya mwenye pesa Hana sura mbaya sura nzuri bila pesa hiyo sura mbaya

Wataonuna wakiniona hili sura haya, sura mtazikunja mpaka zitagusa taya

Suruali lenye pesa limetuna mbaya, ssuruali bila pesa inanuka mbaya, suruali bila pesa kanavokupwaya, ukiweka pesa ndani kanakua sawa

Sisi site tuko sawa, sawa e, Ila hatuko sawasawa

sawa sawa eh, Sawasawa na kusema sawa kumbe sio sawa, Sawa na kutaka usawa ccm na ukawa na mkawa mnabishana kwa vibanda vya kahawa kuhusu Mimi we wi, yule wale hawa Kama kawa Kama dawa sumu ni sumu ni dawa Kama sumu sio sawa dawa yangu sumu dawa

Unamchukia Osama unamchukia Obama, unamjua Osama ndevu kuliko mambo ulifanya, ukimjua kwa kirefu unaeza kuwa ka Obama. Utachana na kuachana huwezi kuwa Kaobama, Hujui ya kwamba mwanga ndie mwenye nguvu za Giza, na Giza likishatanda ndo mwanga unaeza katiza, asubuhi mchana mwanga na Kisha usiku ndo Giza, ka' unataka kumwona mwanga subiria kiza

Ukawa unasema tuondoke haututaki, mi nikawambia washkaji zangu ccm tubaki

Unayoyatami yote yatajiri, (go on)

Endelea endelea endelea, (kuota)

Unayoyatami yote yatajiri, (go on)

Endelea endelea endelea, (kuota)

Unayoyatami yote yatajiri, (go on)

Endelea endelea endelea, (kuota)

Unayoyatami yote yatajiri, (go on)

Endelea endelea endelea, (kuota)

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status