Hainogi ft. Alikiba Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Hainogi ft. Alikiba - Abdukiba
...
kama huna site basi utapagawa
wenzako wanahonga wewe unalala njaa
watu wanacheka na hakuna raha
shida zako weka kando hakuna ujamaa
na tukiwa na vibe hatunaga aibuu
walokuja na abaya wamevua ijabuu
naonaa maajabuu kukota tungi club
madenti wana date mpaka na vibabu
ona simba bila yanga(hainogi)
mchawi bila mganga(hainogi)
mchepuko bila danga(hainogi)
mjanja bila mshamba(hainogi)
Chapa lapa anaringa huyo
tafuta mwingine fasta wengi wako single single single single
shusha iwekeee ,naula ubweche choma upepee, au tungi uwekee
na tukiwa na vibe hatunaga aibuu
walokuja na abaya wamevua ijabuh
naona maajabu kukosa tungi club
madenti wana date mpaka na vibabu
hainogiii
hainogiii
hainogiii
hainogiii
ona simba bila yanga (hainogi)
mchawi bila mganga (hainogi)
Mchepuko bila danga (hainogi)
mjanja bila mshamba (hainogi)
Ulanzi na supu (hainogi)
(hainogi)
Chai na bungo (hainogi)
hainogiii
hainogiii
hainogiii
hainogiii