Washa ft. K2GA Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Washa ft. K2GA - Abdukiba
...
Kasheli kako bindo yee
Wajue kwetu mindo yee
Hodari wa mitindo yee
Hanaga marindo yee
Kokote nitakwenda nae
akapela nitaimba nae
Hawataki ndo nyimbo aipendae
Mi ndo baba na yeye mama yee
Atanikimkosa kidogo
Nikiwa mbali nae kidogo
Kama pochi mi ndo bega nae
Kang'ang'ana kama luba nae
Mi dereva kamutingo ninae
Wanasema mi siachani nae
Kama pochi mi ndo bega nnae
Kang'ang'ana kama luba nnae
Mi dereva kamatingo ninae
Wanasema mi siachani nae
Baby umeniwasha washa
Mi nasema umeniwasha washa
Baby umeniwasha washa
Mi nasema umeniwasha washa
Mwenzako moyo ushaukamata
Herufi zote A mpka B
Natereza kwako pruu mpka maka
Naizo vocal zako yemialade
Kiporo usikifanye kika chacha
Kasoro nami sijakamilika
Niko rindo nakesha
Sina ata presha
Dua na sala kuomba mungu apokee
Wala sina mashaka mola akitaka
Wasotupenda waache waone donge
Kama pochi mi ndo bega nnae
Kang'ang'ana kama luba nnae
Mi dereva kama utingo nnae
Wanasema siachani nae
Na kama pochi mi ndo bega nnae
Kang'ang'ana kama luba nnae
Mi dereva kama utingo nnae
Wanasema siachani nae yallah
Baby umeniwasha washa
Mi nasema umeniwasha washa
Baby umeniwasha washa
Mi nasema umeniwasha washa