Huyo Sio Demu ft. Neiba & Nay Wa Mitego Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Huyo Sio Demu ft. Neiba & Nay Wa Mitego - Abdukiba
...
Kwanza ukimtazama haendani na mambo unayoyasikia moja muzuri Sana na pili yeye anavutia kiumbo yeye anavutia ki Sura insha'Allah Mola kamjalia anamwendo Wa kimiss mi napenda anvyotembea hata kama wak mdiss mim bado namfukuzia
(daily kazi yenu ninyi kumpakazia daily sijui lini ninyi mtampotezea) x2
(neyba)
kakudanganya Wa ostabey wakati anakaa manzese alafu we mwenyewe unafurahi
usimwini iiiii kumpa moyo yeye usije kuuliia, Usimwamni iii kumpa moyo wee utaja niambia
Yupo juu kwa panya kwa mengi aliyoyafanya aah we angalia x2
Yaan bingwa wa viduku kwenye vigodogo aiseee hana maana huyo Demu x2
Huyoooo ( Nasema huyo siyo demu)
Huyoooo ( Nasema huyo siyo demu)
huyooo ( Nasema huyo siyo demu)
huyooo (Nasema huyo siyo demu ) aahhh x 4
I know siwezi laumu Moyo kumpenda yule alisema mtoto mdogo na bado yeye yupo shule,
jamani me nampenda mpenda yeye
jamani me namtaka mtaka yeye x2
ingawa walisema bingwa wa viduku na wengine wakanena bingwa wa vigodoro x2
Siyo lengo langu kukupiku no nasema kweli huyu demu so, ujipe moyo utakoshwa roho ila siyo demu wa kusizzy na mahome noo, ( me nakupenda sana mchizi wangu ndo maana nakuambia aah
usije ona hii dunia ni chungu moyoni nitaumiah )x2
Huyoooo( Nasema huyo siyo demu)
Huyoooo (Nasema huyo siyo demu)
Huyoooo (Nasema huyo siyo demu)
Aaaaah x 4
huyo siyo demuu, Me mwenyewe namjua
hajui kukataa wanasema kaumia hana mapenzi ya kweli anachojali yeye shilingi
kudadadeki mapenzi hayashauriki kama kweli unampenda we mpende tu mara dufu ila huku kitaa wanamgonga hata kwa buku, huyo siyo demu demu wa kitaa
huyo huyo siyo demu ni demu wamselaaa