Mtoto ft. Solomon Mkubwa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Mtoto ft. Solomon Mkubwa - Guardian Angel
...
Beats,,,,
uuuuu,,,, oooooohhhh Umenishikilia
Nimefunzwa na Wewe nikiwa Sunday School,
(Asante sana)
Umenishikilia kwenye mkono wako wenye nguvu,
(Nashukuru bwana)
Ukawasaidia Wazazi wangu kunipa uheri,
Nimekuwa mtu mzima sasa nimekutambua
Nimekuwa mtu mzima sasa nimekuelewa,
Asante Wazazi wangu kunipeleka Sunday School.,
(Asante sana)
Nimeelewa Neno la Mungu Jinsi ninavyo Ongea.
Nimenuisha Neno la Mungu kwa Maisha Yangu,
Asaaaanteee
Onyesha Mtoto Njia nzuri naye hataisahau
Mwonyeshe mtoto njia inayofaa naye hataisahau.
Akiwa mtu mzima lazima hatarudia,akiwa mtu mzima lazima Hamkumbuke Mungu.
Nimepata ushindi kwa Neno Lako,nililofunzwa tangu utotoni,,
eeeeeiiii nimepata mimi....
Nimepata Ushindi kwa Neno Lako,nililofunzwa tangu utotoni.
Uleyavyo mtoto ,ndivyo akuavyo yoyoo,Samaki mkunje angali mmbichi,,
Ukimpeleka mtoto kilabu subiri madhara yake,,madhara yake..
Ukimdekeza mtoto sana ngojea kuharibika kwake mzazi,kuharibika kwakee ...
Adhabu si chukiiii Adhabu ni Upendooo...inaleta kabisa tabia na matendooo ya Mwanaaa
Ona vile tunavyoishi Leo,,ni mafunzo tuliopata kule,ona vile tunavyoishi leo,ni matokeo ya mafunzo tuliopata kulee..
onyesha mtoto njia nzuri naye hataisahau,
mwonyeshe mtoto njia inayofaa naye hataisahau,
akiwa mtu mzima lazima atarudii,
akiwa mtu mzima lazima Hamkumbuke Mungu
nimepata ushindi kwa Neno Lako nililofunzwa tangu utotoni
Nimepata ushindi kwa Neno Lako nililofunzwa tangu utotoni
Nimepata ushindi kwa Neno Lako nililofunzwa tangu utotoni
Nimepata Ushindi kwa Neno Lako nililofunzwa tangu utotoni
..........Thank you for following the lyrics.