Sitaogopa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Sitaogopa - Evelyn Wanjiru
...
1. Bwana furahisha moyo wangu
Ninayo sababu ya kuimba
Pumzi umenipa furaha ukanipa
Dhambi zangu kaondoa
Bwana furahisha moyo wangu
Nina yo sababu ya kuimba
Pumzi umenipa fuaraha ukanipa
Dhambi zangu kaondoa
Ndio maana nasema
chorus
Yesu amenibariki
Yesu ameniinua
Nikiwa naye moyoni (sitaogopa
kamwe)
Yesu amenibariki
Yesu ameniinua
Nikiwa naye moyoni (sitaogopa kamwe)
Hey hey hey sitaogopa kamwe
hey hey hey sitaogopa kamwe
Hey hey hey sitaogopa kamwe
Hey hey hey sitaogopa kamwe
2. Bwana ni taa ya miguu yangu
Mwanga wa njia yangu
Anilindaye hasinzii wala halali
Yu pamoja nami
Yeye ni mwaminifu wakati wote
Yesu amenibariki
Yesu ameniinua
Nikiwa naye moyoni (sitaogopa kamwe)
Yesu amenibariki
Yesu ameniinua
Nikiwa naye moyoni (sitaogopa kamwe)
Hey hey hey sitaogopa kamwe (simba wa yuda)
Hey hey hey sitaogopa kamwe(Jemedari)
Hey hey hey sitaogopa kamwe(Hashindwi kamwe)
Hey hey hey sitaogopa kamwe
(talking)
(Tumsifu) Na nderemo
Hallelujah
(Tumsifu) Kwa makofi
Hey kwa kucheza (Tumsifu)
(Tumsifu)
Chorus