Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2014

Lyrics

Mungu Mkuu - Evelyn Wanjiru

...

eeeeh eeeeh....unabaki kuwa mungu pekee


zaidi ya yote, utabaki kua Mungu

alfa na umega, ubadilili kamwe×2


nikitazama nyuma na mbele,naona ukuu wako

kaskazini kusini pia, naona ukuu wako magaribi nako mashariki pia, naona ukuu wako

(chorus)


Hakuna mkamilifu katika wanadamu yeeye, zaidi ya wewe (Mungu wangu)×2

Kila goti lipigwe, kila ulimi ukiri kuwa wewe ni Mungu (pekee)×2


(Chorus)


Umenipigania, vita vikali.

ambavyo mimi singeweza, peke yangu.

Maadui waliniandama,

lakini ukawatawanya kwa njia saba.

Usifiwe, uabudiwe.


(Chorus)


(Unabaki kuwa (Mungu tu))×2.

Na kwa wakambaa, na kwa waluyaa

Na wakikuyu na waturukana

hata wakisia, hata waluo

Na kwa wamasai, na kwa wakale injili.

eyeyeyeye mamaa, yelelele mama yee

wamitikanda, anabaki kuwa

Na kwa wazungu, Afrika yote

Dunia yotee

Eee atabaki kuwa Mungu

Jehova shamaa , jehova raabi

Jehovah's jera, rohiyeyeye

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status