Dream Vipiko Piko Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2021
Lyrics
Dream Vipiko Piko - Gold Medy
...
sioni mwisho mi na wewe kuja kuachana umenikata kiu wewe oonaananaaa nkupeleke kwa mama na baba wee mupate juana mtani wangu ni wewe oooo naanana penzi letu moja baby (lisifiwe) yaani mbili sweety ( wamezindua ) yani tatu tatu ( tamu halua ) oonaanana
napenda unavyo waka waka na vipiko piko mikononi vile unavyo deka deka na kipini chako kipuani mwenzio umenishika shika hata kutoka nje sitamani penzi linawaka waka vindizi nyama vyote vikondani ana uhibak mimi nakupenda wewe tu ana yahizak mimi naku enzi wewe boo kudadadeki nendeni mushtaki bora jela tuu hata kama hamunitaka mie si mwachi kubalini kwa juu tena dori dori tuwaringishie chori chori ucheze na mie mori mori tena waambie sorry sorry wakome na sie napenda unavyo waka waka vipiko piko mikononi hivyo unavyo deka deka na kipini chako kipuani mwenzio umenishika shika hata kutoka nje sitamani