I love you Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
I love you - Gold Medy
...
baby unanipenda mi ama kuna mwingine
Baby umefata penzi au kuna lingine
Rouhy unanipenda kweli ama kuna mwingine
Mana wengi matapeli wanavizia mãpendezi
Uzuri mm baby i love you
Miimi nakupenda ww
Niiamini nipe shavu
Siitokwenda kwa mwinginewe
Ulivyojazia mi moto
Mtu mzima unanitoa kijasho
Pale unapoita jina langu bojo yaani dah asalala
When you flyyy
I fly with you baby
When you cryyy
I'll cry with you baby
I LOVE YOU ×3
I LOVE YOU BABY
I LOVE YOU *3
I LOVE YOU BABY
Baee alalalalalalaa *4
Nipe tamu ya embe juicy ya tende haluwa haluwa
Vichokodoa pombe tuwakate ngebe tukijisheua
Mi naomba unipende sitokuacha uende utanisumbua
tuombe mola atulinde tuje tuyashinde tufunge na ndoa
Rote Rote
Hasna Siko
Haste Haste
Roonaaa *2
Ulivyojazia ni moto
Mtu mzima unantoa kijasho
Pale unapoita jina langu bojo yaani dah asalala
When you flyyy
I fly with you baby
When you cryyy
I'll cry with you baby
I LOVE YOU *3
I LOVE YOU BABY
I LOVE YOU *3
I LOVE YOU BABY
Baeee alalalalalalaa ×4
@69.lil Cesar