Habibaty Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Habibaty - Gold Medy
...
@69.Lil César
Bby bby boo
ukiwa kibonge kwangu mwepesi
Honey Honey mmmh
chonde chonde usinipe kesi
Oh my love
mbna maex wanafufuka
Oh my love
wakikugusa hapatakalika
Oh my love
si unajua ushaniteka
Oh my love
haachwi mtu mpka nazikwa
I say
Habibaty,oh my wangu
nikueke Dp,au kwa moyo wangu
hivi,wachagua kipi,sema mpenzi wangu
Na kama vipi,twaa vyote vyangu
Mi nawe,penzi letu mia moja,Mi nawe ×2
chaupole
chaupendo
Jina gani unapenda ww
warovole
Nakohodho
nkifika mm ntabaki na ww
Ooohna nanaa
Ona penzi letu la fly pepooo
Ooohna nanaa
Nawakumbuke tutakesha popooo
Ooohna nanaa
Waambie ruhsa wote wapige chaboo
Ooohna nanaa
Ila kwenye penzi hatutaki shoboo
Habibaty,oh my wangu
Nikueke Dp,au kwa moyo wangu
Wachagua kipi,sema mpenzi wangu
Nakama vipi,twaa vyote vyangu
Mi nawe penzi letu mia moja mi nawe ×2
Gold Medy-Habibaty
#001 #Mombasa