Tamba ft. Tommy Flavour, Abdukiba & K2ga Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Tamba ft. Tommy Flavour, Abdukiba & K2ga - Alikiba
...
Yeah oh oh oh oh...
Yeah, yeah, ooh mmmh mmh
(Yogo on the...)
You have cute face, kama mazima umefanana na mimi
Ooh mwenyezi kanibless
Nasimama wima, bwana baba ndio mimi eeh
Ngoja kwanza doctor nesi
Moyo wanienda race
Nilingoja miaka miezi
Ooh, furaha yangu kipenzi-ii
Nilijitoa kwa hali ooh
(For you baby, eeh for you)
Nipoteze zangu mali eeh
(For you baby, eeh for you)
Nachinja mbuzi asali ooh
(For you baby, eeh for you)
Leo nafuta dosari
(For you baby, eeh for you)
Asante Mungu wangu wee (Iyee iyee)
Kuniheshimisha, unamsitiri na mke wangu
Vidudu mtu leo twawakera
Wamekosa la kusema, leo tamba mke wangu
Aah aah, oooh ooh....yeah
Naionyesha hadharani
Hii furaha iliyo ndani yangu aah
Leo nimempata pacha, pacha, pacha wa damu yangu
Na sio swala dogo, kupata mtoto ni baraka
Licha ya tendo kufanywa na wengi
Na wachache ndo hupata
Ajabu wanatupa na povu
Marafiki na ndugu waliokuimbia taarabu
Roho, roho zao zimejawa makovu
Kutwa kupiga matungu, wamepoteza thahabu
Nilijitoa kwa hali ooh
(For you baby, eeh for you)
Nipoteze zangu mali eeh
(For you baby, eeh for you)
Nachinja mbuzi asali ooh
(For you baby, eeh for you)
Leo nafuta dosari ooh
(For you baby, eeh for you)
Asante Mungu wangu wee (Iyee iyee)
Kuniheshimisha, unamsitiri na mke wangu
Vidudu mtu leo twawakera
Wamekosa la kusema, leo tamba mke wangu
Hivi sasa ninachokidhamini eeh
(Ni wewe mwana)
Nikulee kwa nguzo za dini eeh
(Ni wewe mwana)
Niko radhi nilale chini
(Ni wewe mwana)
Ujihisi raha ukiwa na mimi
(Ni wewe mwana)
Basi kama unavibe, tikisa hata kichwa
Tikisa, tikisa tikisa, tikisa tikisa
Mama shangazi, tikisa hata kichwa
Tikisa, tikisa tikisa, tikisa tikisa
Hata kama una kitambi, tingisha hata tumbo
Tingisha, tingisha tingisha, tingisha tingisha
Baba mjomba, tikisa hata kichwa
Tikisa, tikisa tikisa, tikisa tikisa
Jamani mawifi...
(Added by Fidelisbzm01)