Beer Tamu ft. Tyler ICU, Abbah & Visca Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Beer Tamu ft. Tyler ICU, Abbah & Visca - Marioo (TZ)
...
Shii!
Kamata kamata kamata kamata kamata kamata kamata kamata
Eeh
Awaa
Niacheni tu nile bata zama za kale nshaenyeka(sana)
Niacheni tu mi ni enjoy huko zamani nshaumizwa(sana)
Niacheni tu nile bata zama za kale nshaenyeka (sana)
Niacheni tu mi ni enjoy huko zamani nshaumizwa(sana)
Maisha mafupi vp ukikukunja kunja sura utazeeka
Usikunjekunje sura utazeeka
Usibane bane utazikwa nayo
Enjoy life is too short
Kamata kamata kamata kamata aah shiii
Kamata kamata kamata kamata
Eti bby wangu anivuruge ubongo
Ata kazini kwangu wanichanganye kichwa
Aaah mmh sio kweli
Bia tamu
Asikwambie mtu tutu bia tamu
Biaa biaa mitungi bia tamu
Aje aah bia tamu
Aah asikwambie mtu tutuu bia tamu
Biaa biaa mitungi bia tamu
Aje aah aah aah ahh aah aa
Aah shiii
Nani kamwaga pombe yanguu nauliza
Eti nani kamwaga pombe yangu
Nauliza
Jaman nan kamwaga pombe yangu nauliza
Et nan kamwaga pombe yangu nauliza
Me nshalewa niko chakari nshalewa( me nshalewa)
Me nshalewa nyaka nyaka nshalewa(me nshalewa)
Me nshalewa sijielew nshalewa (me nshalewa)….