Manyaku Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Manyaku - Marioo (TZ)
...
Intro
Aaah
Black black
***********
they call me toto bad
Verse I
Sir God kaumba kapatia
Hana dosari anavutia
Sebure kwa chumba kajazia
Ladha asali ananatia
Akitupia, anapendeza kama mdoli
Lips color mpaka raha kama kachori
Mamadiika haijatembezwa bado kigolii
Kama kungu kala mpaka raha jicho goroli
Kama samaki sangara hiyo mikogo (acha bwana)
Manyaku kama nawaona
Mimacho kodo
mieee
Chorus
Akinitachi tachi
moyo unadundagaa
akisema sitaki akinuna
moyo unadundagaa
unadundagaa
Verse II
Wapo wataosema unifaii ili wakuchukue
Waniachie majangaa penzi wachakachuee
Watakodi mandinga matai ili wakuzuzue
Wajitie wagangaa penzi waliganguee
Ujasiri sina wakuvumilia ninapoumizwaa
Huo moyo sina nikizama jina mpaka giza
Kama samaki sangara hiyo mikogo
Manyaku kama nawaona mimacho kodo mieee
Chorus
Akinitachi tachi moyo unadundagaa
Unadundagaa
Akisema sitaki akinuna moyo unadundagaa
Unadundagaa
Outro
Manyaku nyaku
×7
The mix killer