Nimeokoka Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Nimeokoka - Mzee Wa Bwax (TZ)
...
Wee jamani narudi kwa Bwana Yesu, Nimeokoka
Sitaki tena mambo ya usiku, Nimeokoka
Kupiga chabo sipigi tena, Nimeokoka
Mapenzi ya collabo sitaki tena, Nimeokoka
Wee jamani narudi kwa Bwana Yesu, Nimeokoka
Sitaki tena mambo ya usiku, Nimeokaka
Kuvuta bange sivuti tena, Nimeokoka
Kula mirungi me sili tena, Nimeokoka
Masimeni nmeokoka kwa jina la baba
Wala sitofanya tena ule mchezo wa mama na baba
Wahuni nmeokoka
Sitakuwa najiita chura nmechoka vizinga kukicha ela ya dera
Manyau nmeokoka
Sivuti tena sigara maana walonizunguka Wenzenu wananiona fala
Mi kwel nimeikoka yaani uhuni hasara
Wanaopenda kukaba kukicha wanakwenda jela
Mwenzenu nimeikoka yaani sitaki utani
Ule mda wa kuvuta ndo nakwenda kanisani
Wee jamani narudi kwa Bwana Yesu, Nimeokaka
Sitaki tena mambo ya usiku, Nimeokaka
Kupiga chabo sipigi tena, Nimeokaka
Mapenzi ya collabo sitaki tena, Nimeokaka
Wee jamani narudi kwa Bwana Yesu, Nimeokaka
Sitaki tena mambo ya usiku, Nimeokaka
Kuvuta bange sivuti tena, Nimeokaka
Kula mirungi me sili tena, Nimeokoka
Masimeni nmeokoka
Siku izi sichezi kamari
Ile ela ya kubet bora nikale kidali
Wahuni Nimeokoka sifanyi tena zinaa
Mademu Bei ya vocha kwangu naona kinyaa
Me kweli Nimeokoka matusi kwangu ni mwiko
Maana me naogopa Adhabu ikifika kesho
Masela Nimeokoka me mganga simwamini
Nataka dawa ya tumbo anapandisha jini
Wee jamani narudi kwa Bwana Yesu, Nimeokoka
Sitaki tena mambo ya usiku, Nimeokoka
Kupiga chabo sipigi tena, Nimeokoka
Mapenzi ya collabo sitaki tena, Nimeokoka
Wee jamani narudi kwa Bwana Yesu, Nimeokoka
Sitaki tena mambo ya usiku, Nimeokoka
Kuvuta bange sivuti tena, Nimeokoka
Kula mirungi me sili tena, Nimeokoka
Masela ukiokoka bible unaitia kwapani
unaitia kwapani unaitia....
Juma mahazi ukiokoka bible unaitia kwapani
unaitia kwapani unaitia....
Masimen ukiokoka bible unaitia kwapani
unaitia kwapani unaitia...
Ohoooooooo amini kwamba mzee wa bwax hapa mtoto wa njee ya ndoa